Unknown Unknown Author
Title: Urusi yawafungia wanariadha wake wanne .
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ima Maracheva Kamati ya olimpic ya Urusi(Roc) imewafungia wanariadha wanne kwa tuhuma za matumizi ya kutumia dawa za kusisimua misuli ...
Ima Maracheva
Kamati ya olimpic ya Urusi(Roc) imewafungia wanariadha wanne kwa tuhuma za matumizi ya kutumia dawa za kusisimua misuli michezo.
Waliofungiwa ni pamoja na mshindi wa medali ya fedha wa mashindano ya ulaya Irina Maracheva aliyefungiwa kwa muda wa miaka miwili.
Mkimbiza upepeo mwingine aliyefungiwa ni Anna Lukyanova ambae pia amefungiwa kwa miaka miwili kutojihusisha na mchezo huo.
Kamati ya Olimpic pia imewasimamisha Maria Nikolaeva na Yelena Nikulina kwa muda wa miaka minne kutoshiriki mchezo wa riadha.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top