Unknown Unknown Author
Title: CUF kususia marudio ya uchaguzi Zanzibar
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Chama cha Wananchi (CUF) kimetangaza kwamba hakijashiriki uchaguzi wa marudio ambao umepangiwa kufanyika Machi 20. Viongozi wa chama h...
Chama cha Wananchi (CUF) kimetangaza kwamba hakijashiriki uchaguzi wa marudio ambao umepangiwa kufanyika Machi 20.
Viongozi wa chama hicho wamesema uchaguzi halali ulishafanyika mwaka jana.
Chama hicho kimesisitiza kwamba mshindi wa uchaguzi uliofanyika tarehe 25 Oktoba anafaa kutangazwa.
Mapema mwezi huu, chama hicho kilitahadharisha kwamba huenda kukazuka fujo uchaguzi ukirudiwa.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top