Unknown Unknown Author
Title: Mawakili 7 wa haki za kibinaadamu wakamatwa
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Zhou Shifeng Maafisa nchini Uchina wamewatia mbaroni zaidi ya mawakili 7 wa haki za kibinaadamu, ...
Zhou Shifeng
Maafisa nchini Uchina wamewatia mbaroni zaidi ya mawakili 7 wa haki za kibinaadamu, ambao walikuwa wametoweka tangu mwezi Julai.
Mawakili hao wameshtakiwa kwa makosa ya uchochezi.
Saba hao ni miongoni mwa mawakili 140 waliotiwa mbaroni na maafisa wa usalama nchini humo, na kuwekwa kwenye kizuizi cha siri.
Walikuwa wafanyikazi wa kampuni ya sheria ya Fengrui mjini Beijing, ambayo iliwakilisha familia za waathiriwa wa sakata ya maziwa ya watoto yaliyotiliwa sumu mwaka wa 2008.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top