![]() |
| Polisi washika doria katika eneo la mlipuko Uturuki |
Mlipuko mkubwa umetokea katika mji mkuu wa Uturuki, Istanbul.
Mlipuko huo umetokea katikati mwa mji wa kale wa Istanbul.Eneo hilo huwa kivutio kikuu cha watalii.
![]() |
| Mlipuko karibu na msikiti Uturuki |
Maafisa wa polisi kwa sasa wamedhiiti eneo hilo.
Afisi ya gavana wa Istanbul inasema kuwa watu kumi wameuwawa na 15 kujeruhiwa.
Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa zasema kuwa ni shambulizi la kujitoa muhanga.


Post a Comment Blogger Facebook