Unknown Unknown Author
Title: Ibrahimovic kuondoka PSG
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Zlatan Ibrahimovic Mashambuliaji wa kiabu ya Paris St-Germain Zlatan Ibrahimovic ataondoka katika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. ...
Zlatan Ibrahimovic

Mashambuliaji wa kiabu ya Paris St-Germain Zlatan Ibrahimovic ataondoka katika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.

Kandarasi ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 inakamilika msimu huu na amehusishwa na uhamisho wa Manchester United,kilabu ya Los Angels Galaxy na AC Milan.
''Ninafurahia'',alisema.''Niliwasili kama mfalme na sasa naondoka kama kigogo lakini ntarudi''.
PSG imesema kuwa Ibrahimovic anaondoka kama mshambuliaji bora na mchezaji bora zaidi katika historia ya kilabu hiyo.
Ibrahimovic ameifungia mabao mengi zaidi klabu hiyo licha ya kujiunga nayo mwaka 2012 aiwa amefunga mabao 152 katika mechi 178.
PSG imeshinda taji la Ligue 1 kila msimu tangu Ibrahimovic ajiunge na kilabu hiyo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top