Unknown Unknown Author
Title: St George- TP Mazembe nguvu sawa.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Michuano ya kombe la klabu bingwa Afrika imeendelea jana kwa michezo kadhaa. Miongoni mwa matokeo ya mechi hizo Enyimba ya Nigeria ime...
Michuano ya kombe la klabu bingwa Afrika imeendelea jana kwa michezo kadhaa.
Miongoni mwa matokeo ya mechi hizo Enyimba ya Nigeria imeibugiza Vitaloo ya Burundi mabao 5-1, St George ya Ethiopia imetoshana nguvu na TP Mazembe ya Drc Congo bao 2-2, Union Douala ya cameroon imechapwa bao 1-0 na Zamalek ya Misri.
Na katika Michuano ya kombe la shirikisho Klabu ya St Eloi Lupopo ya Drc imeifunga Ahli Shendi ya sudani bao 2-1, Al Ittihad ya Libya imeichabanga Medeama ya Ghana bao 1-0, na Nasarawa ya Nigeria imeichapa Costantine ya Algeria bao 1-0.
Michuano hiyo inatarajia kuendelea tena march 18 mwaka huu.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top