Unknown Unknown Author
Title: Watu ishirini wapigwa risasi Marekani
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Takriban watu 20 wameshambuliwa na takriban mtu mmoja kwa risasi mjini San Bernadino mashariki mwa Los Angeles. Idara ya Polisi mjini ...

Takriban watu 20 wameshambuliwa na takriban mtu mmoja kwa risasi mjini San Bernadino mashariki mwa Los Angeles.

Idara ya Polisi mjini humo imesema tukio hilo inawezekana lilihusisha watu wenye silaha mpaka watatu tukio lililotokea kwenye kituo cha huduma kwa watu wenye ulemavu.
Msemaji ameeleza kuwa mashuhuda waliwaona watu wakiwa na silaha walioaminika kuvalia mavazi ya kukinga risasi.
Picha za Televisheni zimeonyesha watu wakiondolewa kutoka kwenye jengo.
Taarifa zaidi tutawaletea kwa kadri tutakavyokuwa tunazipata.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top