Unknown Unknown Author
Title: Brussels bado katika hali ya tahadhari
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ulinzi umeimarishwa Brussels Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Charles Michel amesema hali ya tahadhari it...
Ulinzi umeimarishwa Brussels

Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Charles Michel amesema hali ya tahadhari itaendelea kubaki kwa kiwango cha juu katika mji wa Brussels.

Waziri huyo amesema wasiwasi wa tishio la ushambulizi kama lililowahi kutokea siku kumi zilizopita mjini Paris bado ni mkubwa.
Lakini kuanzia Jumatano shule zitafunguliwa na usafiri wa treni katika mji mkuu utakuwepo tena.
Mamlaka ya Ubelgiji imesema mpaka sasa inawashtaki watuhumiwa wanne kwa kujihusisha katika shughuli zinazohusiana na ugaidi.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top