![]() |
| Mtoto mwengine amekufa maji Uturuki |
Ripoti kutoka Uturuki, zinasena kuwa
mwili wa mtoto wa kike wa miaka minne kutoka Syria, umepatikana pwani
kando ya bahari ya Aegean.
Shirika la habari rasmi la Uturuki,
limearifu kuwa mashua iliyobeba wakimbizi, ilizama ilipokuwa ikijaribu
kufika kisiwa kimoja cha Ugiriki.![]() |
| Wasyria wengi wamekufa maji wakijaribu kutafuta maisha mapya Ulaya |
Wa Syria 14 wengi wao watoto - wali-okolewa.
Majuma mawili yaliyopita, picha za mtoto mdogo kutoka Syria, aliyezama Uturuki, zilishutua ulimwengu, kuhusu mashaka yanayowakuta wakimbizi wanaojaribu kufika Ulaya.


Post a Comment Blogger Facebook