![]() |
| Mourinho |
Shirikisho la soka nchini Uingereza
FA limeweka mfano mbaya kwa kubadilisha uamuzi wa kadi nyekundi
aliyopewa beki wa Arsenal Gabriel Paulista kulingana na kocha wa Chelsea
Jose Mourinho.
Beki Gabriel Paulista alipigwa kadi nyekundu kwa
kumpiga teke Diego Costa wakati Chelsea ilipoibuka mshindi kwa mabao 2-0
dhidi ya Arsenal katika mechi ya ligi kuu ya Uingereza siku ya
jumamosi.![]() |
| Gabriel na Costa |
Costa alipigwa marufuku kwa kuzua ghasia katika kisa na beki mwenmgine wa Arsenal Laurent Koscielny kilichosababisha Gabriel kupigwa kadi nyekundu.
![]() |
| Diego Costa |
Mourinho alisema kuwa hakuzungumzia swala la kupigwa marufuku ya mechi tatu kwa Costa kwa hofu ya kupewa marufuku.



Post a Comment Blogger Facebook