![]() |
| Kafando |
Serikali ya Burkina Faso imevunja
kikosa cha kumlinda rais ambacho kiliwashika mateka mawaziri wakati wa
majaribio ya mapinduzi yaliyofeli.
Hatua hiyo ilichukuliwa wakati
wa mkutano wa kwanza wa serikali tangu siku ya Jumatano wakati rais wa
mpito Michel Kafando aliporejeea madarakani![]() |
| Burkina faso |


Post a Comment Blogger Facebook