Unknown Unknown Author
Title: Wafungwa watatu wameuawa wakati wa maandamano kwenye gereza moja lililo kusini mwa Thailand. Karibu wafungwa 100 walishiriki katika ghasia hizo kwenye gereza moja lililo mkoa wa Pattani, ambazo zilidumu kwa muda wa saa sita. Wafungwa hao kwanza walichoma majengo mawili ndani ya gereza hilo. Wafungwa hao walikuwa wametangaza matakwa kadha ikiwemo kutembelewa zaidi na familia zao na pia kupewa fursa ya kutizama habari kwenye runinga.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Polisi nchini Ufaransa wamewakamata watu watatu wanaohusishwa na shambulizi la lori la siku ya Alhamis mjini Nice lililosababisha vifo...

Polisi nchini Ufaransa wamewakamata watu watatu wanaohusishwa na shambulizi la lori la siku ya Alhamis mjini Nice lililosababisha vifo vya watu 84.

Wale waliouawa walikuwa kati ya umati mkubwa uliokuwa ukitizama maonyesho ya fataki, wakati lori lilivurumishwa makusudi kwenda eneo walikuwa.
Zaidi ya watu 50 wako hali mahututi hospitalini. Siku tatu za maombolezi zimeanza kwa waathiriwa wanaotoka nchi kadha.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top