Unknown Unknown Author
Title: Sokwe auawa baada ya kumshika mtoto Marekani
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wafanyikazi wa hifadhi moja wa wanyama nchi Marekani wemempiga risasi na kumuua sokwe mmoja baada ya mtoto mmoja kuingia kwenye hifadh...

Wafanyikazi wa hifadhi moja wa wanyama nchi Marekani wemempiga risasi na kumuua sokwe mmoja baada ya mtoto mmoja kuingia kwenye hifadhi hiyo.

Mkurugenzi wa hifadhi Cincinnati, alisema kuwa mtoto huyo mvulana wa umri wa miaka minne, alitambaa na kupita kuzuizi na kisha kuanguka kwenda mahala alikuwa sokwe huyo kwa jina Harambe, ambaye alimshika na kuanza kumburuta.
Aliitaja hatua ya kumuua sokwe huyo kama uamuzi mgumu lakini ulio muhimu. Mtoto huyo hakupata majeraha mabaya.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top