Unknown Unknown Author
Title: Bondia Anthony atamba kupigana na Fury
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Anthony Joshua alitwaa mkanda wa IBF wa dunia uzani wa Heavyweight Bondia Anthony Joshua amesema ...
Anthony Joshua alitwaa mkanda wa IBF wa dunia uzani wa Heavyweight
Bondia Anthony Joshua amesema sasa macho na akili zake anazielekeza kwa bondia Tyson Fury hii ni baada ya kushinda mkanda wa IBF wa dunia uzani wa Heavyweight siku ya Jumamosi na katika raundi ya pili ya mtoano ya dhidi ya mpinzani Charles Martin.
Mwingereza huyo mwenye umri wa miaka 26 ambaye ni bingwa wa Olimpiki amesema sasa anahitaji kupambana na bondia Fury na kuendelea kutetea mataji.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top