Unknown Unknown Author
Title: FBI huenda wakafungua simu ya muuaji aina ya iphone 6 yenye finger print
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Syed Farook aliwapiga risasi watu San Bernardino Idara ya Haki ya Marekani imesema huenda shirika la upelelezi la FBI limegundua njia...
Syed Farook aliwapiga risasi watu San Bernardino

Idara ya Haki ya Marekani imesema huenda shirika la upelelezi la FBI limegundua njia ya kufungua simu ya mkononi ya muuaji aliyewapiga risasi watu eneo la San Bernardino, Syed Rizwan Farook.

Idara hiyo imeiomba mahakama kuahirisha kusikilizwa kwa kesi kati ya shirika hilo dhidi ya kampuni ya utengenezaji wa simu, Apple.
Iphone
 Idara hiyo imekuwa ikishawishi mahakama ilazimishe Apple kufungua simu ya Farook, ambaye yeye na mkewe wanatuhumiwa kufanya shambulizi la bunduki na kuwaua zaidi ya watu 14 katika jimbo la California, Desemba, mwaka jana.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top