Unknown Unknown Author
Title: Whatsapp sasa inatumiwa na watu BILIONI moja kwa mwez.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Huduma ya mawasiliano ya Whatsapp sasa inatumiwa na watu BILIONI moja kwa mwezi, kwa mujibu wa Facebook inayomiliki programu tumizi (app)...

Huduma ya mawasiliano ya Whatsapp sasa inatumiwa na watu BILIONI moja kwa mwezi, kwa mujibu wa Facebook inayomiliki programu tumizi (app) hiyo. 
Whatsapp imeizidi hata huduma ya mawasiliano ya Facebook inayopata watumiaji milioni 800 kwa mwezi.
Kampuni hiyo imesema ujumbe bilioni 42 na video milioni 250 hutumwa kupitia Whatsapp kila siku.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top