"Yaani hapa hapa tafrani nawaza nikiwazua kuhusu siku iyo ya juma tatu inshaallah sijui itakuaje"
WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR WAKIJIANDAA NA MAANDALIZI YA MTIHANI WA SEMISTER YA KWANZA
"Muda umifika wa kufanya mtihani itabidi tuufanye na hata kama hatujajiandaa vizuri ndo imetubidi sizani kama hata muda ukiengezwa nakusudia huu mtihani kupelekwambele sio sababu ya kuja kufanya vizuri kwani maandalizi hufanyika mapema" Alisema mmoja kati ya wanafunzi
"Mh! lazima nijitahidi nisipofanya hipo suza watanisuuza vibaya sana ni bora tu kuweka jembe pembeni na kuanza kupalilia shamba langu kuliko kuharakia"
"Yaani hapa hapa tafrani nawaza nikiwazua kuhusu siku iyo ya juma tatu inshaallah sijui itakuaje"
"Yaani hapa hapa tafrani nawaza nikiwazua kuhusu siku iyo ya juma tatu inshaallah sijui itakuaje"
Post a Comment Blogger Facebook