Unknown Unknown Author
Title: Matokeo na msimamo wa Ligi Kuu Uingereza baada ya mechi za February 2
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Usiku wa February 2 ilichezwa michezo kadhaa ya Ligi Kuu  Uingereza , hii inatokana na weekend haikuchezwa na kulikuwa na michezo ya Komb...
Usiku wa February 2 ilichezwa michezo kadhaa ya Ligi Kuu Uingereza, hii inatokana na weekend haikuchezwa na kulikuwa na michezo ya Kombe la FA, February 2 ilichezwa michezo nane ya Ligi. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee matokeo ya mechi zenyewe na video za magoli ya baadhi ya mechi.
Matokeo ya mechi za Ligi Kuu Uingereza February 2
  •  Arsenal 0 – 0 Southampton
  • Leicester City 2 – 0 Liverpool
  • Norwich City 0 – 3 Tottenham Hotspur
  • Sunderland 0 – 1 Manchester City
  • West Ham United 2 – 0 Aston Villa
  • Crystal Palace 1 – 2 AFC Bournemouth
  • Manchester United 3 – 0 Stoke City
  • West Bromwich Albion 1 – 1 Swansea City
Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza ulivyo sasa

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top