Mabingwa wa zamani wa ligi ya Uingereza Manchester United wanaikaribisha Southampton katika uwanja wa Old Traford baada ya Liverpool kuishinda Norwich City kwa mabao 5-4.
6.33PM:Victor Mugubi Wanyama hapa afanya kazi nzuri sana kuzuia mipira ya Manchester United katikati ya uwanja
6.22pm:Matokeo ya ligi ya Uingereza Kufikia sasa
Norwich 4 - 5 Liverpool FT
Crystal Palace 0 - 0 Tottenham L
Leicester 0 - 0 Stoke L
Man Utd 0 - 0 Southampton L
Sunderland 0 - 1 Bournemouth L
Watford 0 - 0 Newcastle L
West Brom 0 - 0 Aston Villa L
West Ham v Man City 17:30
6.19pm:Daley Blind apiga mkwaju pale kwa kutumia guu lake la kushoto nje ya boksi akisaidiana na Wayne Rooney lakini kipa anaokoa.
6.16pm:Marouane Fellaini ampiga kisukusuku Victor Mugubi Wanyama hapa lakini refa hakuna hatua anayochukua
![]() |
| Anthony Martial |
6.10pm:Mshambuliaji wa Mancheter United Anthony Martial akosa bao safi baada ya kupiga mkwaju kutoka mbali.do!
6.07pm:Hakuna timu ilioona lango la mwengine kufikia sasa
6.04pm:Victor Wanyama (Southampton) apata mpira wa adhabu.
6.03pm:Marouane Fellaini acheza vibaya(Manchester United).
6.00pm:Kikosi cha Manchester United
01 de Gea 36 Darmian 12 Smalling 17 Blind 43 Borthwick-Jackson 28 Schneiderlin 27 Fellaini 09 Martial 21 Herrera 35 Lingard 10 Rooney
Wachezaji wa ziada
07 Depay 08 Mata 11 Januzaj 20 Romero 30 Varela 33 McNair 44 Pereira
5.40pm:Kikosi cha Southampton
44 Forster 02 Soares 17 van Dijk 06 Fonte 21 Bertrand 12 Wanyama 04 Clasie 11 Tadic 10 Mané 33 Targett 07 Long
Ward-Prowse 20 Juanmi 22 Stekelenburg 28 Austin
Ref: Mike Jones

Post a Comment Blogger Facebook