Unknown Unknown Author
Title: Mechi ya leo noma: Aston Villa 0-0 Man City
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Amini usiamini Aston Villa wanapata alama moja muhimu kutoka kwa vinara wa ligi kuu ya Uingereza Manchester City. City walikuwa na mazoea ...
Amini usiamini Aston Villa wanapata alama moja muhimu kutoka kwa vinara wa ligi kuu ya Uingereza Manchester City.
City walikuwa na mazoea ya kuchukua pointi zote tatu lakini sasa Villa wamepata alama yao muhimu.
Na sasa wanavunja msururu wa kushindwa katika mechi 14.
Kipa wa Aston Villa analazimika kufanya kazi ya ziada kuwanyima Man City bao
Mpira umekwisha !
Mashambulizi yanachacha mbele ya lango la Aston Villa
Manchester United wanafanya mashambulizi makali mbele ya lango la Villa.
Loooooo
Mpira kombora la Vincent Kompany linagonga mchuma
Kona
Manchester City wanapata kona muhimu lakini wapi
86:17 Aston Villa 0-0 Man City
Kona kuelekea upande wa Manchester City
Joe Hart ndiye anayeipangua mpira wa kutupwa na inakuwa kona.
Aston Villa 0-0 Man City
86 :06
Charles N'Zogbia ameanguka chini baada ya kugongwa jicho kimakosa.
80 :00 Aston Villa 0-0 Man City
Ngome ya Villa leo imeimarika.
Makocha wote wawili wanatafuta ushindi
Inaonekana kocha mpya Remi Garde ameanza kufanya mabadiliko yanayoonekana !
Dakika kumi ya mchezo zimesalia.
78:20 Badiliko Manchester City
Yaya Toure anaondoka na Fabian Delph anaingia.
Mashabiki hawafurahii wanamzomea

77 :00 Aston Villa 0-0 Man
Raheem Sterling anakosa nafasi nzuri ya kuiweka City mbele

75 :00 Aston Villa 0-0 Man City
74:16 Kona ya , Aston Villa.
Vincent Kompany ndiye aliyegonga nje.
71:08 Badiliko Aston Villa.
Leandro Bacuna anaingia Scott Sinclair anapumzishwa
Zimesalia sasa chini ya dakika 18 katika mechi hii.
70:00 LOOOOOOOOO
Sinclair anakosa nafasi nzuri ya kuvunja safu ya ulinzi ya Manchester City
Remi Garde, anafurahia matokeo yaliyo hadi sasa.

68:015 Aston Villa 0-0 Man City
67:05
Jesus Navas anaboronga pasi safi kutoka kwake Kevin De Bruyne
64:48 Badiliko Aston Villa.
Charles N'Zogbia anachukua nafasi ya Carles Gil.
62:03 Free kick
Idrissa Gueye (Aston Villa)
59:49
Yaya Touré (Manchester City) anakosa nafasi ya kunga kwa kichwa
52:00 Aston Villa 0-0 Man City

Mkwaju wake unapaa juu ya mlingoti
55:00 Aston Villa 0-0 Man City
Man City wanafanya wimbi baada ya wimbi la mashambulizi
Vijana wa Manuel Pellegrini wanaonekana kuwa na hamu ya kutafuta ushindi kuliko ilivyokuwa katika kipindi cha kwanza.
Kwa Upande wake Remi Garde, anafurahia matokeo yaliyo hadi sasa.
je vijana wake watastahimili mashambulizi haya ?
Kwa sasa inaonekana asilimia kubwa ya mchezo huu unachezwa katika nusu ya Aston Villa.
Aleksandar Kolarov anafuma mkwaju unaomtatatiza kipa wa Villa Brad Guzan
52:00 Aston Villa 0-0 Man City
Raheem Sterling anakosa nafasi nzuri ya kuiweka City mbele.
mkwaju wake wa kichwa unamgonga kipa wa Aston Villa.
50:00 Free kick
Freekick

Nicolás Otamendi anaipatia (Manchester City) Freekick nje ya eneo la hatari.
50:00 Aston Villa 0-0 Man City
Manchester City wameshinda mechi 7 kati ya 8 walizocheza dhidi ya Aston Villa
Kevin de Bruyne

City wamefunga mabao 22
Kwa ujumla City wamewafunga Villa mabao 68 na kushinda mechi 21 .
je leo itakuwa siku ya Villa ama wageni wao vinara wa ligi kuu ya Uingereza Man City?
45'00 Aston Villa 0-0 Man City
Tumerejea katika kipindi cha pili.
45'00 Aston Villa 0-0 Man City
Kipindi cha kwanza kimekamilika
Matokeo yakiwa ni sare tasa.
42 :00 Kevin De Bruyne anafanya kazi ya ziada katika mkono wa kulia lakini wapi
Juhudi zake zinaambulia patupu .
Raheem Sterling anakosa kasi ya kupata ''cross'' safi .
39:20Carles Gil (Aston Villa) anapiga nje.
38:44 Nicolás Otamendi (Manchester City) anaoneshwa kadi ya njano kwa kuchezwa visivyo
38:30 Aston Villa 0-0 Man City
Freekick kuelekea lango la Man City.
Aston Villa 0-0 Man City

34:54 Kona ya Manchester City.
Jordan Amavi anagonga nje
34:30 Aston Villa 0-0 Man City
Iwapo Aston Villa watashindwa itakuwa ni kichapo chao cha 17 katika mashindano yote.
Hii ndiyo mwanzo wao mbaya zaidi katika ligi ya Uingereza
Manchester City wanalazimika kufanya

Kona kuelekea lango la Aston Villa
27:09 Free kick
Kevin De Bruyne anachezewa visivyo inakuwa ni Freekick kuelekea (Manchester City) .
26:30 Aston Villa 0-0 Man City
Manchester City wanalazimika kufanya mabadiliko mapema.
Jesús Navas anaingia uwanjani kuchukua pahala pa Wilfried Bony
24:30 Aston Villa 0-0 Man City
24:30 Aston Villa 0-0 Man City
14 Wilfred Bony anachechemaa akitoka nje anaonekana kama ameumia sana
20:30 Aston Villa 0-0 Man City
20:17 Kona kuelekea upande wa A. Villa
Ciaran Clark
15:28 Foul
Jordan Ayew (Aston Villa).
13:42 Idrissa Gueye (Aston Villa) anapoteza nafasi nzuri ya kuishambulia man City,
Mkwaju ni hafifu mno
00:05 Aston Villa 0-0 Man City
Kevin De Bruyne

Image caption Kevin De Bruyne
Free kick kuelekea lango la (Aston Villa)
Micah Richards 
Kipa mchanga lakini machachari

00:05 Aston Villa 0-0 Man City
Offside, Manchester City.
Manchester City ndio wanaongoza jedwali la ligi kuu ya Uingereza

Bacary Sagna anapiga cross lakini Kevin De Bruyne anaotea !
00:03 Aston Villa 0-0 Man City
Alan Hutton anapiga 'cross' lakini Joe Hart anauzima
00:00 Aston Villa 0-0 Man City 
Aston Villa 0-0 Man City


Aston Villa 0-0 Man City
Timu ya Aston Villa

Mechi imeanza
Timu inayoongoza katika jedwali la ligi kuu ya Uingereza Manchester City inachuana dhidi ya Aston Villa Inayoshikilia nafasi ya 20 katika msimamo wa ligi hiyo ya EPL.
Aston Villa ndio wanaoshikilia nafasi ya mwisho katika jedwali la ligi kuu ya Uingereza

Timu iliyotolewa na kocha Manuel Pellegrini inatofauti moja tu kutoka kwa ile ile iliyoilaza Sevilla katika mechi ya kuwania ubingwa wa Ulaya .
Mechi imeanza

Kevin De Bruyne anarejea uwanjani na kuchukua pahala pake Jesus Navas.
Manchester City
Sterling
01 Hart 03 Sagna 04 Kompany 30 Otamendi 11 Kolarov 25 Fernandinho 06 Fernando 17 De Bruyne 42 Y Touré 07 Sterling 14 Bony
Wachezaji wa Akiba
13 Caballero 15 Jesús Navas 18 Delph 20 Mangala 22 Clichy 26 Demichelis 72 Iheanacho

Aston Villa
Timu ya Man City

01 Guzan 21 Hutton 04 Richards 06 Clark 23 Amavi 17 Veretout 24 Sánchez 08 Gueye 25 Gil 19 J Ayew 09 Sinclair
Wachezaji wa Akiba
07 Bacuna 16 Lescott 18 Richardson 28 N'Zogbia 31 Bunn 39 Gestede 40 Grealish

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top