Mmoja kati Viongozi wa Maskani hio Alisema" Tunakipenda sana Chama Cha CCM kwa sababu tangu tunaanza kuja duniani tumekikutia na vile vile ndio kinachotupa maendelea ya nchi ingawaje watu wengi wanafikiria maendeleo hayo yatapatikana kwa mtu mmoja mmoja"
Na katibu wa Maskani hio aliendelea kusema "CCM imeshinda tayari sisi tunangojea iyo siku ya uchaguzi tu kwani hatujawahi kushindwa"
Na katibu wa Maskani hio aliendelea kusema "CCM imeshinda tayari sisi tunangojea iyo siku ya uchaguzi tu kwani hatujawahi kushindwa"

Post a Comment Blogger Facebook