MATUKIO MBALI MBALI YA UCHAGUZI NCHINI TANZANIA YAKIWEMO MATOKEO YA UCHAGUZI
11.03am:Wanahabari wa vyombo vya ndani na nje ya nchi, pamoja na mawakala, wakiwa ndani ya ukumbi ambao Tume ya Uchaguzi Zanzibar inatangaza matokeo ya uchaguzi.
10.00am:Mawaziri waliobwagwa katika uchaguzi mkuu wa Tanzania
-Christopher Chiza waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu-uwezeshaji na uwekezaji.
-Aggrey Mwandri-naibu waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa na serikali za mitaa.
-Anne Kilango Malecela-naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi
-Dokta Kebwe Stephen Kebwe-naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii.
9.00am:Matokeo ya uchaguzi katika jimbo la Gando nchini Tanzania .
8.00am:Matokeo ya uchaguzi wa urais nchini Tanzania yanaendelea kutolewa huku BBC ikiendelea kukufahamisha kuhusu matukio tofauti nchini humo.Tayari tume ya uchaguzi imetoa matokeo ya majimbo 24 na bado inaendelea kutoa mengine zaidi.

![]() |
| Matokeo ya uchaguzi jimbo la Gando |
9.00am:Matokeo ya uchaguzi katika jimbo la Gando nchini Tanzania .
8.00am:Matokeo ya uchaguzi wa urais nchini Tanzania yanaendelea kutolewa huku BBC ikiendelea kukufahamisha kuhusu matukio tofauti nchini humo.Tayari tume ya uchaguzi imetoa matokeo ya majimbo 24 na bado inaendelea kutoa mengine zaidi.

Post a Comment Blogger Facebook