Unknown Unknown Author
Title: Mikutano ya Pegida yafanyika Ujerumani
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Makundi ya wanaounga mkono Pegida Kumekuwa na mikutano ya hadhara nchini Ujerumani ya kupinga na...
Makundi ya wanaounga mkono Pegida

Kumekuwa na mikutano ya hadhara nchini Ujerumani ya kupinga na kuunga mkono maadhimisho ya mwaka wa kwanza tangu kuanzishwa muungano wa kupinga wahamiaji kuingia nchini humo ujulikanao kama Pegida.

Polisi wanasema zaidi ya wanachama 20,000 wa Pegida walikusanyika katika mji wa Dresden, ambao ndilo chimbuko la vuguvugu hilo.
Wengine walibeba mabango yenye michoro ya mwamake Mwislamu aliyevalia Burka chini ya Msalaba mkubwa wa Kikristo.
Mkutano mwingine wa watu wanaounga mkono wakimbizi uliwavutia zaidi ya watu 7,000.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top