![]() |
| Mourinho |
Mkufunzi wa kilabu ya Chelsea Jose
Mourinho amemkosoa tena mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger akimtaja kuwa
mfalme anayeongoza bila presha
Wenger alidhani kwamba uchokozi wa
Diego Costa ndio uliosababisha Gabriel Paulista kupewa kadi nyekundu
katika mechi kati ya timu hizo mbili iliochezwa wikiendi iliopita.![]() |
| Wenger na Mourinho |
Mourinho bila kumtaja mtu yeyote alisema:''Anaweza kuzungumza kuhusu marefa,kuwasukuma watu,unaweza kulia kuanzia asaubuhi hadi jioni lakini hakuna chochote kitakachofanyika.Hawezi kutoa matokeo mazuri lakini bado anaendelea kuwa mfalme''.
Wawili hao wamekuwa na uadui mkubwa huku Mourinho akimwita Wenger kuwa maalum bila mafanikio.


Post a Comment Blogger Facebook