Unknown Unknown Author
Title: Mali; Afikishwa ICC kwa kuharibu makavazi
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Afikishwa ICC kwa kuharibu makavazi Mshukiwa wa kundi la wapiganaji wa kiislamu, anayetuhumiwa k...
Afikishwa ICC kwa kuharibu makavazi
Mshukiwa wa kundi la wapiganaji wa kiislamu, anayetuhumiwa kuharibu makavazi ya kihistoria nchini Mali, anatarajiwa kufikishwa mbele ya mahakama ya kimataifa ya ICC wakati wowote kuanzia sasa.
Anatuhumiwa kuteleza uhalifu wa kivita.
Ahmad Al Faqi Al Mahdi, alikabidhiwa kwa mamlaka kuu nchini Niger siku ya Jumamosi.

Ahmad Al Faqi Al Mahdi, alikabidhiwa kwa mamlaka kuu nchini Niger siku ya Jumamosi.
Anasemekana kuamrisha au kutekeleza uharibifu katika makavazi ya kale huko Timbuktu.
Uharibifu huo ulitokea wakati mji huo ulikuwa umekaliwa na makundi ya waasi
Uharibifu huo ulitokea wakati mji huo ulikuwa umekaliwa na makundi ya waasi ya kwa kipindi cha miaka mitatu.
Hii ni mara ya kwanza kwa mtuhumiwa kukabiliwa na makosa ya uharibifu wa maeneo ya kihistoria katika sheria mpya ya mahakama ya jinai na makosa ya uhalifu wa kivita ya ICC.





About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top