Unknown Unknown Author
Title: Mahujaaj kutoka Zanzibar wakiomba dua katika Viwanja vya Arafah jana.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
In shaa Allaah, Hajjan mabruuran wadhamban maghfuuran.  Mahujaaj kutoka Zanzibar wakiomba dua katika Viwanja vya Arafah jana, siku am...
In shaa Allaah, Hajjan mabruuran wadhamban maghfuuran. 
Mahujaaj kutoka Zanzibar wakiomba dua katika Viwanja vya Arafah jana, siku ambayo ni muhimu kwa kila Hajji. Siku ambayo Allaah huwasamehe waja wake madhambi yao yote. Siku ambayo ni bora katika katika masiku yote ya mwaka mzima. Allaahumma watakabalie Mahujaaj wote. Amin

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

 
Top